DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA MAFANIKIO YALIOTOKANA NA USHIRIKIANO NA WASANII WAKUBWA WA MUZIKI

Msanii maarufu wa muziki Diamond Platnumz  aonekana kuja juu kwenye sakata la muziki.Hii ni baada ya kikundi kutoka nchini Nigeria kinachojulikana kwa jina la #Braket kumshirikisha msanii huyu katika nyimbo inaitwa #alive.Suala hili limeonekana kumsaidia Diamond kuweza kujulikana zaidi duniani hasa katika nchi za kaskazini mwa Afrika na kati,na aliendelea kutoa ladha zaidi kwa mashabiki wake.Na baadhi ya nyimbo hizo ni kama #ntampata wapi #nakupenda ft #iyanya na #nana ft mr Flavour.
Watanzania tunatakiwa kumpa ushirikiano msanii Diamond Platinumz ili aweze kukuza muziki kitanzania katika dunia hii.Amen


Comments

Popular posts from this blog

DIAMOND PLATNUMZ FT OMARION AFRICAN BEAUTY

KUNDI LA MEJA LIMERUDI TENAAA