Video mpya ya Diamond Platnumz inayoitwa African Beauty,aliomshirikisha msanii wa Marekani Omarion imezua balaa,ngoma hii imelifanya soko zima la sanaa ya bongo fleva kuonekana kuwa juu.Hii ni kwa sababu,ngoma hii ina sisimua,effect ya sauti na location ya video.Pia katika suala zima la uvaaji Diamond na Omarion wamevaa vyema katika ngoma hiyo.Hii inaonesha kwamba hata wasanii wengine wa bongo fleva inawapasa kuwa na vigezo kama hivyo au zaidi ya hivyo.
Kiukweli mpango mzima wa utoaji wa muziki hapa Tanzania umekuwa mzuri sana.Kwa ufahari wa wanamuziki mahiri kama Diamond Platnumz,Ommy Dimpoz,Kala Jeremiah,AY n.k..Tanzania Ni nchi ya burudani..asanteni na mungu aibariki Tanzania..
Vijana wanne waliokuwa pamoja tangu shule ya msingi,sasa wamekutana tena baada ya kupoteana kipindi cha miaka takribani minne.Vijana hao kwa sasa ni watanashati sana kwa sababu wamekuwa kwa kasi sana.kwa mjina ni Amos Pol,Elisha Lugendo,Judge Kilindo na Mohamed Koas..wanamshukuru mungu kwa kuwakutanisha tena pamoja.Na kundi Lao linaitwa MEJA.
Comments
Post a Comment