DIAMOND PLATNUMZ AING'ARISHA AFRICA..

Kiukweli kwa sasa karibia Dunia nzima inatambua kuwa barani Africa ndipo penye vipaji vingi vya miziki.suala hili limeonekana Baada ya mwanamziki Diamond PlatnumZ aliponyakua tuzo tatu za chanel O.


Comments

Popular posts from this blog

DIAMOND PLATNUMZ FT OMARION AFRICAN BEAUTY

KUNDI LA MEJA LIMERUDI TENAAA