Posts

Showing posts from June, 2015

DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA MAFANIKIO YALIOTOKANA NA USHIRIKIANO NA WASANII WAKUBWA WA MUZIKI

Image
Msanii maarufu wa muziki Diamond Platnumz  aonekana kuja juu kwenye sakata la muziki.Hii ni baada ya kikundi kutoka nchini Nigeria kinachojulikana kwa jina la #Braket kumshirikisha msanii huyu katika nyimbo inaitwa #alive.Suala hili limeonekana kumsaidia Diamond kuweza kujulikana zaidi duniani hasa katika nchi za kaskazini mwa Afrika na kati,na aliendelea kutoa ladha zaidi kwa mashabiki wake.Na baadhi ya nyimbo hizo ni kama #ntampata wapi #nakupenda ft #iyanya na #nana ft mr Flavour. Watanzania tunatakiwa kumpa ushirikiano msanii Diamond Platinumz ili aweze kukuza muziki kitanzania katika dunia hii.Amen

KUNDI LA MEJA LIMERUDI TENAAA

Image
Vijana wanne waliokuwa pamoja tangu shule ya msingi,sasa wamekutana tena baada ya kupoteana kipindi cha miaka takribani minne.Vijana hao kwa sasa ni watanashati sana kwa sababu wamekuwa kwa kasi sana.kwa mjina ni Amos Pol,Elisha Lugendo,Judge Kilindo na Mohamed Koas..wanamshukuru mungu kwa kuwakutanisha tena pamoja.Na kundi Lao linaitwa MEJA.