Posts

DIAMOND PLATNUMZ FT OMARION AFRICAN BEAUTY

Image
Video mpya ya Diamond Platnumz inayoitwa African Beauty,aliomshirikisha msanii wa Marekani Omarion imezua balaa,ngoma hii imelifanya soko zima la sanaa ya bongo fleva kuonekana kuwa juu.Hii ni kwa sababu,ngoma hii ina sisimua,effect ya sauti na location ya video.Pia katika suala zima la uvaaji Diamond na Omarion wamevaa vyema katika ngoma hiyo.Hii inaonesha kwamba hata wasanii wengine wa bongo fleva inawapasa kuwa na vigezo kama hivyo au zaidi ya hivyo.

BEST COLLABORATION 2015

New video of Diamond Platinumz featuring Mr Flavour #Nana.This video makes many fanns of that two artist to love more their songs.Also this create our artist from Tanzania Diamond to be more famous all over the world.

DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA MAFANIKIO YALIOTOKANA NA USHIRIKIANO NA WASANII WAKUBWA WA MUZIKI

Image
Msanii maarufu wa muziki Diamond Platnumz  aonekana kuja juu kwenye sakata la muziki.Hii ni baada ya kikundi kutoka nchini Nigeria kinachojulikana kwa jina la #Braket kumshirikisha msanii huyu katika nyimbo inaitwa #alive.Suala hili limeonekana kumsaidia Diamond kuweza kujulikana zaidi duniani hasa katika nchi za kaskazini mwa Afrika na kati,na aliendelea kutoa ladha zaidi kwa mashabiki wake.Na baadhi ya nyimbo hizo ni kama #ntampata wapi #nakupenda ft #iyanya na #nana ft mr Flavour. Watanzania tunatakiwa kumpa ushirikiano msanii Diamond Platinumz ili aweze kukuza muziki kitanzania katika dunia hii.Amen

KUNDI LA MEJA LIMERUDI TENAAA

Image
Vijana wanne waliokuwa pamoja tangu shule ya msingi,sasa wamekutana tena baada ya kupoteana kipindi cha miaka takribani minne.Vijana hao kwa sasa ni watanashati sana kwa sababu wamekuwa kwa kasi sana.kwa mjina ni Amos Pol,Elisha Lugendo,Judge Kilindo na Mohamed Koas..wanamshukuru mungu kwa kuwakutanisha tena pamoja.Na kundi Lao linaitwa MEJA.

TANZANIA YAONEKANA NDIO NCHI YENYE WANAMUZIKI WAKALI WENGI EAST AFRICA NA KATI..

Image
Kiukweli mpango mzima wa utoaji wa muziki hapa Tanzania umekuwa mzuri sana.Kwa ufahari wa wanamuziki mahiri kama Diamond Platnumz,Ommy Dimpoz,Kala Jeremiah,AY n.k..Tanzania Ni nchi ya burudani..asanteni na mungu aibariki Tanzania..

BABY FASSION SALOON..WE BUILDING BEAUTY..YOUR ALL WELCOME

Image
Baby fashion saloon,Ni saloon inawekea warembo wiggs za aina mbalimbali na zenye ubora mkubwa yaani originals wiggs..wiggs hizo zimetoka katika mataifa makubwa hapa duniani..and called baby fashion saloon iliyopo mtaa wa Morroco in Posta Dar es salaam..kwa mawasiliano email (yisidory@yahoo.com) au kwenye instagram@yohaniaisidory na kwenye Facebook@yohaniaisidory..asante na karibuni nyote..we building beauty..