DIAMOND PLATNUMZ FT OMARION AFRICAN BEAUTY

Video mpya ya Diamond Platnumz inayoitwa African Beauty,aliomshirikisha msanii wa Marekani Omarion imezua balaa,ngoma hii imelifanya soko zima la sanaa ya bongo fleva kuonekana kuwa juu.Hii ni kwa sababu,ngoma hii ina sisimua,effect ya sauti na location ya video.Pia katika suala zima la uvaaji Diamond na Omarion wamevaa vyema katika ngoma hiyo.Hii inaonesha kwamba hata wasanii wengine wa bongo fleva inawapasa kuwa na vigezo kama hivyo au zaidi ya hivyo.